Wednesday, May 16, 2012

Mito ya Baraka wafanya Kampeni ya Wokovu Mtaa kwa Mtaa Nyumba kwa Nyumba.

By Jimmy  |  2:50 PM No comments

Katika kuakikisha kilamtu anafikiwa na Injili mahali popote alipo.Kanisa la Mito ya Baraka kupitia Mchekeshaji wa Maigizo ya Tv,Emmanuel Mgaya a.k.a Masanja Mkandamizaji siku ya J/pili walianza Kampeni yakuhubiri kwa kuanzia Eneo maharufu kwa uzaji wa Mitumba {Karume}

Masanja ambae ujiita Pastor to be yani Mchungaji Mtarajiwa aliwagusa watu wengi hasa wale wenyeimani Kuokoka nikuwa Masikini au Kuokoka niushamba.Twende sawa na video ya Mahubiri yake





Jimmy Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

Related Posts

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By Bloggertheme9