Wazee wa Masebene Dar es salaam Gospel band baada ya kuwa jikoni kwa muda mrefu.Siku ya J/pili ya Tarehe 27/5/2012 wataweka wakfu albam zao mbili 1}Safari ya Mbinguni 2}Liko Lango.
Nikiongea na Manager wa Band hiyo Mr Inack Imtha amesema tukio hilo litafanyika siku ya J/pili katika Kanisa la KKKT Tabata Kisukulu na baada ya hapo wataanza rasmi kuzunguka katika Makanisa tofauti tofauti waliyo alikwa.
Mpaka sasa wamesha alikwa KKKT kunduchi,JJC kwa Mch Nkenda wa urafiki,na Mh Job Mkama mbezi.Band hii kwa sasa wapo kumi na mbili waimbaji na wapigaji.ikiwa chini ya Mkurugenzi Mr Ahaz Challi.
Blog inawatakia mafanyikio mema katiaka kumtangaza Kristo Yesu.
Albam ya Kwanza Safari ya Mbinguni.
Albam ya Pili Liko lango moja wazi.
Wazee wa Sebene.
Dar es salaam Band

0 comments: