Monday, May 14, 2012

Alitamba Miaka ya 2000 hadi 2007 sasa aja na "Nyofoa Ulimi"

By Jimmy  |  9:35 AM No comments

Miaka ya 2000 hadi 2007 Mchungaji Charles Jangalason alitamba na vibao vyake Usiwe kama Popo,Dungwa Sindano,Vaa Kiatu,Sugua Meno,Tibu masikio,Usiweige Mbuzi,Jifunze kwa Kuku,Fua guo,Jaza Tumbo,Usile vya Bure na 2012 Nyofoa Ulimi.
Mchungaji Jangalason.

Jangalason nimuimbaji wa siku nyingi,lakini kwa Muda mrefu amekuwa kimya akifanya kazi yakuchunga kondo wa Bwana katika Kanisa la All Nations Ministries,amesema mwaka huu ni mwaka ambao amerudi tena kwa wapenzi wake ivyo ametoa Albam mpya ya kumi na moja ijulikanayo kama Nyofoa ulimi ambayo imelenga kumbadilisha kila atakae sikiliza.
Mchungaji Jangalason akihubiri kwenye moja ya Mikutano yake.

Jangalason alijipatia umaharufu mkubwa miaka ya 200 kwa vituko vyake ambavyo huwa navyo na baadae watu hujikuta wakibadilika kwa urahisi zaidi bila kutumia nguvu nyingi.


Kwa sasa Mchungaji Jangalason amejikita zaidi kwenye injili mikoani na vijijini akiwa anasema,Injili kupitia nyimbo hufikia watu wengi kwa urahisi hivyo utunzi wa nyimbo zake huwa makini na hukutana na matatizo ya watu.

Pata Video ya wimbo wa Mwanafunzi Fisi yenye vituko vyake vinavyo vutia watu.



Live Concert akiwa U.S.A Mchungaji Charles Jangalason.






Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP