Thursday, April 5, 2012

VUGUVUGU LA KUONDOKA KWA MENEJA WA PRAISE POWER RADIO,LEO WAYAMALIZA MEZANI.

By Jimmy  |  4:47 PM No comments

George Mpella.

Lipo vuguvugu ambalo lilivuma siku kama mbili au Tatu kwa Meneja wa Praise Power George Mpella kuondoka. Habari hizi zilikuwa zikivuma kupitia facebook na mitandao ya kijamii.

kwamujibu wa George Mpella ni kweli alikuwa tayari aondoke Praise Power lakini leo asubuhi kupitia kikao ambacho kimefanyika kwa muda wa saa tano, management himefikia makubaliano kwa yale yote ambayo yamezungumzwa kwenye kikao kuwa George Mpella arudi kazini kama kawaida.
Mpella

Kuondoka kwa George Mpella kulitokana na kutoelewana na management hasa katika utendaji wa kazi, lakini mujibu wa Meneja George alizungumza na blog hii nakusema kuwa wameyamaliza na sasa wanendelea na kazi kama kawaida.Hivyo utata ulijitokeza kupitia facebook na Mitandao mingine sasa umekwisha.


Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP