MADHUMUNI makubwa ya makala hizi ni kukudhihirishia kuwa Kanumba alikuwa Freemason.
Nimeshangazwa wakati nikisoma magazeti, baadhi ya nchini Tanzania kuhusu Kanumba na kuwa Freemasons wengine wakikataa kwa kushindwa kuelewa na wengine wamekuwa wakielekea kwenye ukweli lakini wakishindwa kutoa uthibitisho wenye mashiko kuhusu mwigizaji huyo.
Hebu tuone haya katika sehemu ya TATU katika mfululizo wa makala 90 za FREEMASONRY.
Kwa kila namna wa wanawafanya watu wawe na kiwango kidogo cha elimu, wanazibadilisha akili na vipaji vya watu, kutoka katika uasili wake tangu kuzaliwa, kwa kuivuruga na kuikoroga akili (MIND MANIPULATION).
Alama ya Freemasonr.

KWA KUTUMIA MIFUMO YA ELIMU WALIOYOITENGENEZA KATIKA KILA KONA YA MAISHA YAO HADI NDANI YA Nyumba zao, magazetini, redioni, sinema na hata kupitia vituo vya televisheni.
Jengo la Freemasonr lilipo Dar es salaamu.
Mtu m zima na afamilia yake wanatumia muda mwingi kila siku kutazama televisheni, tunavaa tunaishi, tunazungumza mambo yetu kutokana na kile
TULICHOKIONA KWENYE TV, kwenye sinema na kwingineko.

Sisi wenyewe hatuna mawazo yetu wala maamuzi yetu binafsi. Tuna furaha kubwa kuwa hivyo, watu fulani wanataka uitazame dunia kama wanavyotaka wao, na sio kama ambavyo dunia ilivyo.
Wametawala kila kitu ambacho mtu anakisoma, anachokitazama na anachosikia. Kwanini isiwe hivyo?
Wana masikio, macho na kalamu kwenye asilimia 95 ya vyombo vyote vya habari katika kila nchi duniani.
Ni kama wameuweka ubongo wa watu wa dunia hii katika ncha za vidole vyao.
Wana utawala, uwezo wao wa kufikiri kiasi cha kutoweza kufikiri tena zaidi ya kukubaliana kwa maoyo safi kabisa na kile ambacho wanakifanya wao wanachosema nawanachotaka kifanywe.
Kwa habari zaidi fungua www.jaizmelaleo.blogspot.com
0 comments: