Nikiwa katika kutafuta Matirio mapya ya Kipindi changu cha Sunday Special hatimae nikakutana na Mtu ambae namueshimu sana,mana yeye ndie alie ona kipaji changu nakunitambulisha katika Tasinia ya Utangazaji.Si mwingine Harrs Kapiga wa CLOUDS FM.
Niliweza kuzungumza nae mawili matatu nakunijuza kunakitu kikubwa kinakuja kupitia Clouds TV kwako muimbaji wa mziki wa injili.So kama unacho kipaji cha kuimba kaa mkao wakula na Watoto wa mjengoni Clouds Tv.
0 comments: