Gosple Timu ya wapa kipigo Timu ya Utumishi wa Umma kutoka Ofisi ya Rais Magoli 3-2
Nao Timu ya Netbal ya Gosple Timu yapewa kichapo na Timu ya Utumishi wa Umma kutoka Ofisi ya Rais Mabao 23-16
Upande wa Netbal ulikuwa upinzani mkali kwani kipindi cha kwanza Gosple Timu walionekana wakali.Mambo yalibadilika na mwisho wa Mchezo Timu ya Utumishi walitoka kidedea.
BIG UP UNCLE JIMMY KWA HABARI MOTOMOTO
ReplyDelete