Saturday, February 4, 2012

By Jimmy  |  4:25 PM No comments

GLORIOUS CELEBRATION WAKIMTUMIKIA MUNGU NDANI YA THE ATRIUMS HOTEL SINZA SIKU YA IJUMAA.
Glorious Celebration ni kikundi kinachopiga muziki wa injili LIVE. Kila Ijumaa wanapatikana katika hotel ya the Atriums wakimtukuza Mungu. Ijumaa ijayo watakuwepo mahali hapo ambapo watapiga LIVE na kutakuwa mkesha wa kumtukuza Mungu. Hakutakuwa na kiingilio chochote.

Waimbaji wa Glorious Celebration wakimtumikia Mungu ndani ya The Atriums Hotel

Paul Tonex (aliyenyanyua mkono) akimwimbia Mungu




Mtalaamu wa Blogs, Website na Graphics Tanzania, Rulea Sanga akiingiza stories za Glorious Celebration katika hotel ya The Atriums Sinza Afrikasana.
















Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP