Saturday, February 4, 2012

By Jimmy  |  7:16 AM No comments

FRIENDS ON FRIDAY NI KIBOKO YA MJINI
Siku ya jana ilikuwa siku nzuri ambayo kila alie udhuria usiku wa FOF anakubaliana na Mimi Friends on Friday nikiboko ya Mujini.Hii ni Event ya Kwanza katika Mwaka huu wa 2012 ukiacha Event tano zilizo fanyika mwaka 2011.Safari hii ilikuwa tupia Chochote pale kati,njoo tuanze Mwaka na Bwana tuki furai na kucheza kwa pamoja.


Moja kati ya vitu wanavyo vifanya FOF nikuakikisha ukifika utoki bila kufahamiana na mtu ambae umjui kabisa.Kuakikisha unatoka ukiwa unatamani kila siku iwe FRIENDS ON FRIDAY.
Maandalizi yakiwa yame pamba moto.
The Event Manager Prospar mzee wa Kuachwa eee"
Uncle jimmy akiwa na Chris Mauki katika kuweka mambo sawa kabla Event kuanza.
Uncle Jimmy
Niki teta jambo na Chris Mauki.
Mc wa Event Papa wa Ukweee"
Nikipata Maelekezo kutoka kwa katibu Renee.
Taratibu watu wakianza kujongea ndani ya FOF.
Uyu Mzungu wa pili kutoka kulia ni Chale champion.
Kama kawa watu wakiingia ndani ya Ukumbi.
Hapa ilikuwa Felistail kwa Mc Papa wa pili kutoka kushoto na Chris Mauki anae fata.
Uyu jama ukiachia kupiga Drams ni noma katika kuimba miondoko ya Hip hop.
Moja ya watu ninao wakubali hapa mjini ni wajina James Mwang"amba.Ndie alie kuwa mgeni katika kutupa Plan na jinsi yakuyatimiza Malengo yako 10 ulio jipangia katika Mwaka 2012.

Friends on Friday utukutanisha na Marafiki ambao mliweza kupoteana kwa muda mrefu bila kuonana.Yupo rafiki yangu nilie soma nae shule ya Msingi Kipawa miaka 12 imepita atukuwai kuonana,Lakina FOF ikatuweka pamoja.
Gladys katika pozi.Kwa sas anachukua Mastars ya Business administration Chuo kiku cha Dar.
Tifua tifua ya Regraa wa Mbura wa pili kutoka kushoto,akiwa na vijana wa kazi.
Hawa jamaa muwaaachee.
Hapa ulikuwa Mchezo wa Bet na Kofia.Watu walicheka sana.
Uyu Mzungu alivunja watu mbavu.Mana lugha zilikuwa gongana na MC acha kabisaaaa.
Haaaaaaa ilikuwa raaaa.Mc akimtwanga Kiswanglishi.
Tazama Pozi la kicheko chake.
Ugeni From Filend ndani ya Friends on Friday.
Huyu jamaa ndie alikuwa mnene kuliko watu wote.
Wakati Marafiki wakiendelea kubadilishana mawili matatu Mzee wa Sebene Regraa Wambura alitupa zawadi ya Rumba ikiwa ni special kwa Marafiki wote wa Friends on Friday.
Chris Mauki akisakata Rumba na Mkewe Miriam Mauki.
Taratibuuuuu.
Raha ya Rumba ndio hiiiiiii.Taratibuu.
Uncle Jimmy taratibuu na mrembo wa Yesu katika Rumba.
Papa akisakata rumba na Elizabeth.
Uyu jamaa alie vaa suti nyeupe ametokea Dodoma,ni Mwalimu wa Secondary pia alimaharufu Mc-Pilipili ya Sherehe.Alikaribishwa kusalimia Friends,watu walicheka sanaaaaa.
Mzee wa Solo Sam.
Bas gitar Daniel Kenge.
Hapa ni kigogo kikichezwa.

Tuna kila sababu yakumshukuru Mungu kwa friends on Friday Episode VI tunaamini sio kwa akilizetu wala umaharufu tulio nao,Bali nikwauweza wa Mungu utuwezeshao kufika hapa tuliko fika.Tunakushukuru wewe shabiki yetu wewe ni wathamani mbele za Mungu.Tuna kupenda nakaribu tena Friends on Friday ya Tarehe 2-3-2012.One Love


































Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP