Tare 20 na 21 Mwezi wa 8 Mwaka huu kulikuwa na Event ya aina yake hapa Dar.Ambayo ili fanyika seemu mbili tofauti.Mlimani City na Mbezi.Uncle jimmy nilipata kuona Show zote mbili zilizo Fanyika.
Una weza usikubaliane nami kwakile utakacho kiona,Lakini Si Mchezo nilicho ona kwa Macho yangu.
Imekuwa kawaida Walokole kuonekana washamba naatujui kitu lakini kadiri siku zinavyo zidi kwenda ulimwengu utashuudia mambo mengi kupitia Event kama izi,naile zana Mbovu kufutika.
Mzigo mzima wa Event ya Mlimani City Si-ndo uapa
MLIMANI CITY HALL
Mbeba Maono ya Event Nzima Isaac Malonga akiongea jambo
Watoto wa Apostle Onesmo Ndegi wakilikabili jukwa
Moja kati ya mwimbaji anae fanya Hip Pop From Kenya uyu jama aliniteka kichwa Changu.Siku si nyingi utamsikia na Masong yake kupitia Radio Praise Power.
Mistari ikishushwa
Group from Uganda wakifanya kweli jukwaani
Apostle Onesmo Ndegi na Mkewe Lilian Ndegi walikuwepo
Benjamin Dube Kulia Mwenye Suti Nyeusi,Mkali wa Gosple kutoka Bondeni South Africa
alikuwepo
Episode II ya Mbezi katayari utaiyona
0 comments: