Mafuta Group from Uganda ninomaa,walijipanga.
Shekinah Dancers walitisha kwenye Stage
Apostle Msoka na Mkewe wakifatilia Show kwa makini
Iki kikundi ni noma wanafanya Dancing ya ukweli
Kijana uyu kutoka Kenya anafanya R$B flani nitamu kupita maelezo
Pastor Isaac akilonga jambo na Aposstle Ndegi
Furuuu Shangweeeee
Clara,Swahiba Papaa,Shemeji Edina.
Wadau wa Uncle Kushoto Listar akiwa na Shosti wake Pendo Mallya.
Benjamin Dube akifurai jambo jukwaani.
Big Boss wangu George Mpela alikuwepo.
Mara nyingi Flora Mbasha na Mumewe Emmanuel Mbasha upenda kujificha hasa wanapo kwenda kwenye Event,Lakini Camer ya Uncle iliwafuma.
Mc Anton Luvanda akiwa na Mkewe.Shemejiiiii.
Furu burudani furu shangwe.
Kizazi kipya
Pastor Mathias kwa Makini akifatilia Show.
Uzalendo uka mshinda Mama mzazi mzaa Chema Isaac Malonga.
Benjamin Dube ni Mwimbaji maarufu Africar.Nilicho gundua kwake hasa katika uwimbaji wake,Mungu amempa kipawa cha kuabudu.Kwani alipo simama nakuanza kuabudu ulishuka upako mkubwa,nawengi walifunguliwa.
Benjamin Dube akitamka maneno ya Baraka na Ulinzi kwa Mbeba Maono Isaac Malonga.
Baada ya kazi kwisha Uncle Jimmy akapata picha na Benjamin Dube.Nyuma yangu ni Mpiga Drams wa Dube.

0 comments: