Showing posts with label James Temu news 9:05 Am. Show all posts
Showing posts with label James Temu news 9:05 Am. Show all posts

Wednesday, April 9, 2014

HIKI KITUKO CHA MASANJA MWEE!!VIDEO KUTOKA INSTAGRAM.


Tuesday, February 4, 2014

KUBWA KULIKO FRIENDS ON FRIDAY 2014.PICHA NA MATUKIO YAKO HAPA

Uinjilisti Kijitonyama on set kuanza Amsha Amsha
2014 umekua mwaka wa haina yake kwenye event ya kwanza ya Friends on Friday Amsha Amsha.Kama ilivyo ada ya FoF huwa kutanisha waimbaji mbalimbali wa muziki wa injili wadau na watu maarufu,safari hii fof ilikua na waimbaji kutoka Uinjilisti Kijitonyama,Angel Benard,na Mtaalamu wa Saikolojia Chriss Mauki.Kama kawa kama dawa Kijitonyama walianza kwa kutukumbusha nyimbo za zamani kama Ndani ya Safina,"Eeh Baba Kama Si wewe Ningekuwa Wapi"Hakuna Mungu Kama Wewe"n.k.
Baadae akaja mwana dada mwenye uwezo mkubwa

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP