Showing posts with label James Temu news 6:51 Am. Show all posts
Showing posts with label James Temu news 6:51 Am. Show all posts

Friday, April 25, 2014

JICHO LA BLOG na ALLEN MWAIPAJA-MKONO WA BWANA

Nakutakia weekend njema mdau wangu wewe niwa thaman

Monday, April 7, 2014

HAZINA YA MAARIFA NA FRED MSUNGU.

 SAFU YA FRED MSUNGU: BADILI CHANZO CHA TAARIFA
JINSI ULIVYO LEO NI MATOKEO YA ULICHOKISIKIA NA KUKIAMINI
                                      
UTANGULIZI
Katika maisha ya kila siku, kila mmoja kwa upande wake kuna mambo ambayo anayatarajia sana  kama matokeo halisi ya kitu fulani aliwahi kupanga au kuwaza katika maisha yake.Japo kua matarajio hayo hua ni siri ya mtu binafsi lakini nina uhakika kwa asilimia nyingi sana kwamba kila mmoja wetu anamatarajio mazuri katika maisha yake.Pamoja na kua kila mmoja wetu anategemea matokeo mazuri (chanya) lakini kuna kitu cha kwanza kufanya  ambacho hicho ndio huleta matokeo unayoyahitaji,Inawezekana ukawa na matarajio mazuri sana lakini kua na matarajio (imani juu ya kitu fulani)na mambo makuu na mazuri hiyo  haimaanishi tayari umepata uhakika au tiketi ya kuyafikia matarajio hayona kuyafanya kua kitu harusi.Wapo watu wengi waliokua na ndoto kubwa (matarajio)lakini hawakuweza kufikia, Na hii ni kwasababu tu!Hawakutengeza mwanzo wao kuakisi matokeo ya kesho yao.Kua na wazo au tarajio  zuri peke yake si ufunguo wa mafanikio kuyafikia malengo,

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP