Showing posts with label James Temu news 11:28 Am. Show all posts
Showing posts with label James Temu news 11:28 Am. Show all posts

Tuesday, December 24, 2013

PASTOR HARRIS KAPIGA KUTOKA CLOUDS FM 88.5 NA CLOUDS TV AFUNGUA NIGHT CLUB YA GOSPEL.TAARIFA KAMILI NA ENEO ZIKO HAPA

Mchunga Harris Kapiga kutoka kanisa la nchi ya ahadi leo amezungumza na blog juu ya ujio mpya wa Club ya Gospel ikiwa katika Project za CHIMBO...Harris alisema kua hapa nimahali ambapo watu wanakutana na mziki wa injili tu unachezwa kuanzia saa 3 usiku huku kukiwa na Dj anayefanya mixing za nguvu kwenye mashine,mandhari ni ya kama night club ya kawaida.Hivyo na karibisha wadau wote na wenye kupenda mziki wa gospel kuja kufurahi pamoja
Namna ya kufika... Mbezi beach shukia tangibovu uliza Makhot Resort.
TAREHE 26-12-2013 KUANZIA SAA 3 USIKU
Kwa maelezo zaidi  piga simu no 0718 88 88 00.pia kutakuwa na usafiri mwenge na Postal kufikisha watu Ela Gospel club

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP