Showing posts with label James Temu news 10:24 Am. Show all posts
Showing posts with label James Temu news 10:24 Am. Show all posts

Tuesday, February 4, 2014

MDAU WANGU HII NDIO FILAMU ILIYO NI FICHA MWEZI MZIMA (JANI CHANGA) PICHA ZOTE ZIKO HAPA



 Nakila sababu ya kumshukuru Mungu kwa vipawa alivyo nipa kwenye maisha yangu.....Mwanzoni mwa mwaka huu umeonyesha dalili kubwa za ujio mpya katika vipawa vyangu,na washukuru wale wote walio husika kunifikisha hapa nilipo fika kwani bila wao nisinge fika.Mdau wangu wa nguvu kwa muda kama wa mwezi mmoja nilipata mkataba wa kufanya filamu na kampuni kubwa ya Dotinata.
Kampuni hii ilinichagua kua muhusika mkuu katika filamu hii iliyopewa jina la JANI CHANGA.Ni filamu ambazo katika maisha yangu itakua ya pili kufanya ikiwa katika mazingira ya kijijini sana na mjini ikiwa ni sehemu ndogo sana.Binafsi nime enjoy sana kwenye filamu hii kwani nimeweza kupata elimu kubwa kutokana na muongozaji wa filamu.Naweza kueleza mengi lakini na kushukuru wewe mdau wangu wa www.unclejimmytemu.blogspot.com kwa muda wote niliopotea hukuacha kuni sms kwenye namba yangu hata kuja in box kwenye facebook hii yote ni kuonyesha upendo wa dhati kwangu.Mwisho kabisa na washukuru wale wote tulio kua nao kwenye kazi hii pamoja na mkurugezi wangu wa nguvu Dotinata kwa kunichagua mimi kama sehemu ya filamu ya JANI CHANGA.
Hizi ni picha baadhi ya tulizo fanya mdau wangu.

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP