Showing posts with label James Temu news 1:19 Pm. Show all posts
Showing posts with label James Temu news 1:19 Pm. Show all posts

Tuesday, February 11, 2014

MDAU WANGU BADO MAFUNZO YANAENDELEA KWA WAANDISHI WA HABARI KUTOKA OFISI YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI

 Mkurugenzi (Mama) Gloria Oman aki fafanua jambo...Huyu mama anajua sanaaa
 Ndugu Nyirabu Kitano kutoka mkoani Mara akiuliza swali mchana wa leo.
 "Mkemia" Fidelis Segumba akitoa somo kwa waandishi wa habari na taasisi mbalimbali.
 Kushoto ni Kaimu Mkemia Mkuu wa Serikali Sabanitho Mtega akiwa darasani.
 Wakurugenzi na wakemia wakiwa busy kwajili ya kuandaa masomo kwa waandishi wa habari.

 Picha inayo onekana kwa juu ni  muonekano wa DNA...Hili somo waandishi walilipenda sana.

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP