Thursday, November 13, 2014

UMEONA HIZI PICHA JAGUAR ALIPO WATEMBELEA EMMY KOSGEI NA MUME WAKE....

By Jimmy  |  7:03 AM No comments

 Jaguar ni msanii mwenye mafanikio makubwa na utajiri mkubwa Kenya.Ni muimbaji anayefanya muziki wa bongo flava ambapo kwa sasa yupo katika utengenezaji wa video yake....akiwa katika safari yake nchini
Nigeria,alipita kwa mwana Dada Emmy Kosgei na kupata time ya kubadilishana mawazo mawili matatu alisema Jaguar.Kutokana na Jaguar kupata muda wa kukutana na Emmy ambaye alikua na Mume wake mashabiki wa Emmy wamekitafsiri ni kitendo kizuri na kuonyesha upendo hata kama wao wanafanya muziki wa dunia.....

  Jaguar akiwa na marafiki zake pamoja na Emmy Kosgei.Wa pili kutoka upande wa kulia ni mume wa Emmy Kosgei....

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP