Jicho la Uncle Jimmy leo limemulika kwenye record mpya ya Edson Mwasabwite 'ASILIMIAMIA' inayotambulisha album mpya inayotarajia kutoka hivi karibuni.Kupitia radio mbalimbali za Christian wimbo wa ASILIMAMIA umetokea kupendwa na kumpa ramani nzuri Edson Mwasabwite,ukiusikiliza wimbo huo anamshukuru Mungu kumpa maisha ya utofauti......Kwa hisani ya Unclejimmytemu.com usikilize wimbo huo hapo chini kisha niachie maoni yako mdau wangu
0 comments: