Sunday, November 16, 2014

FLORA MBASHA ANAKUKARIBISHA KUITAZAMA VIDEO YAKE -NIPE NGUVU-

By Jimmy  |  2:47 PM No comments

Kuwa wa kwanza kutazama video ya (Nipe Nguvu) ulipo kwenye album ya Flora Mbasha aliyoipa jina Nipe Nguvu.Wimbo huu ulifanyika Flem Studio alipokua na mume
wake Mbasha ambaye kwa sasa hawapo tena pamoja.Video imetengenezwa na kampuni ya X-Treme Videoz na Aug 23,2014 kwa mara ya kwanza iliingia kwenye mtandao wa Youtube.
Kwa hisani ya Unclejimmytemu.com tazama video hiyo hapo chini mdau wangu.

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP