Monday, November 10, 2014

EXCLUSIVE:UPENDO KILAHIRO ATUNUKIWA TUZO MAALUM NA SAB.PICHA 15 ZIKO HAPA

By Jimmy  |  12:12 PM No comments

Tamasha kubwa limefanyika usiku wa kuamkia leo nchini Marekani jimbo la Ohio,ambapo muimbaji wa kimataifa Upendo Kilahilo amepewa tuzo ya heshima (Inspirational Music Award) kwa kutambua
mchango wake mkubwa kwenye muziki wa injili wa East Africa hususani Tanzania katika kuhamasisha uimbaji na kuwasaidia waimbaji wa changa,na kutumia nafasi yake katika kuutambulisha muziki wetu kwa anga za kimataifa.
 Tuzo hiyo imetolewa na board of directors wa SAB katika event hiyo iliyofanyika Jesus Power Assembly of God in Columbus Ohio.
 Katika event hiyo kwa mujibu wa ripota wangu Alex wa Kingdom Media ameifahamisha Unclejimmytemu.com kuwa Upendo Kilahiro alifunika mbaya mpaka event imekwisha tayari amepata mialiko 3....hii ni nafasi nzuri kwa Upendo kuutangaza muziki wetu katika ngazi za kimataifa alisema Alex.
 Upendo Kilahiro akifanya kweli jukwaani.
 Amos Mfwangavo kulia,mmojawapo wa board of directors wa SAB akimkabidhi Upendo Kilahiro tuzo usiku wa jana.




 Kitu Nyomiiiiiiii!!
 Smart Boy Felis Mubibya akiwa na waimbaji on stage.
 Wadau wa Unclejimmytemu.com kwenye Camer ya ripota wangu Alex

 Mamaa wa Vocal Upendo akienda sawa


Picha zingine zinakuja mdau wangu.....

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP