Nisher ni Mtoto wa Mchungaji maarufu Tanzania "Geordavie"mwenye huduma yake mkoani Arusha inayotambulika 'NGURUMO YA UPAKO'.Ukimzungumzia Nisher unazungumzia vipaji lukuki alivyo navyo.Hiki ni kipaji kidogo kati ya vipaji tele alivyo navyo.Mtazame hapa akifanya kweli kwenye drams kanisani
0 comments: