Apostle John Komanya mwenye kumiliki band ya "JOY BAND" ameachi video ya wimbo maalumu kuombea Katiba ya taifa letu la Tanzania.Katika video ya wimbo huo ameimba na kikosi cha band yake yenye masikani njee kidogo ya jiji la dar es saalamu.Video hii imetengenezwa na director Fredy del Isike,Audio-Joy voice studio,na kampuni iliyofanya kazi Jvc Pro Studio.
Tazama video hiyo hapo chini kutoka kwenye account ya facebook ya Joh Lisu.

0 comments: