Kenya bado wanaendelea kushikiria record ya kutengeneza video kali na nzuri hasa katika muziki wa Gospel tofauti na hapa kwetu Tanzania.Janet Otieno ni muimbaji kutoka Kenya anayefanya vizuri katika muziki wake......Janet amevuma na record zake kali kama
Napokea Kwako aliyo mshirikisha
Christina Shusho,
Uniongoze,Ni wewe na Mtafute,katika nyimbo hizi (Napokea Kwako na Mtafute) zimeongoza kutazamwa na watu wengi youtube na kudonload-wa na watu sana
Uniongoze,Ni wewe na Mtafute,katika nyimbo hizi (Napokea Kwako na Mtafute) zimeongoza kutazamwa na watu wengi youtube na kudonload-wa na watu sana
Heshima ni video yake mpya yenye maana ya kumuheshimu Mama yako mzazi,kuonyesha mapenzi na malezi ya Mama katika maisha yako mdau wangu.
Be the first to watch this song Heshima
Napokea Kwako
Napokea Kwako

0 comments: