Siku ya J/mosi ya tarehe 23/8/2014 kanisa la KKKT-KIJITONYAMA wanakualika kwenye semina ya vijana iliyoandaliwa na usharika wa Kijitonyama.Semina hii itaongozwa na mtumishi wa Mungu John Sembatwa akishirikiana na mtumishi
Sunbella Kyando.
Msikilize mtumishi wa Mungu John Sembatwa akieleza nini kitafanyika kwenye semeni hiyo hapo chini.
Sunbella Kyando.
Msikilize mtumishi wa Mungu John Sembatwa akieleza nini kitafanyika kwenye semeni hiyo hapo chini.

0 comments: