Wakali wa wili wenye uwezo mkubwa katika kusifu na kuabudu
Kirk Franklin na Solly Mahlangu wana subiriwa kwa hamu nchini
South Africa…tarehe
28/9/2014 kwenye tamasha kubwa la kusifu na kuabudu litakalo fanyika “Moses Mabhinda Stadium”.Ni tamsha maalumu
kwajili ya kizazi cha sasa na kijacho,kuponya waliofungwa na shida mbalimbali
na kurudisha matumaini tena.Ninafasi ya peke kwa Africa Kusini kupokea kutoka kwa wakali hawa.

0 comments: