Zilikuwa ni siku sita za kwenda viwango vya juu katika Jiji
la Dar es salam Katika Kanisa la Living Water center chini ya Mtumishi wa Mungu
Apostle Onesmo Ndegi Katika Kongamano liloitwa Kongamano la Viwango vya Juu (Higher
Levels Conference)
Katika Kanisa la Living Water Center kila mwaka huwa kuna Kongamano
kuu linakuwa na watumishi wa Mungu kutoka Makanisa mbalimbali Nchini na nje ya
Nchi,kwa mwaka huu alikuwepo Bishop Kameta Dar es salaam,Bishop Oram Mustafa
kutoka Arusha Tanzania, Mchungaji Titus Mkama wa Ilala
TAG Dar e salaam, Bishop Dr Peter Muteba South Afrika,Bishop Dr.Tengu Yoka kutoka NairobiApostle Aaron Timoth
DRC, Dar es salaam Tanzania na wenyeji Apostle Onesmo na Lilian Ndegi.
Watu walipata muda wa kutosha
kujifunza Neno la Mungu kwa ufasaha na kuombewa na watumishi wote waliohudumu katika Kongamano hilo
Living
Waters Praise Team,Totoo,Kwaya kutoka Glory Land Arusha,na Kwanya kutoka
Nairobi ndio walihudumu katika Kongamano hilo,King Chavala naye alikuwepo
kufanya vitu vyake! ![]() |
| Bishop Oram Mustafa kutoka Arusha Gloryland International Church |
![]() |
| Mchungaji Titus Mkama wa Ilala TAG Dar e salaam |
| Bishop Dr Peter Muteba South Afrika |
| Bishop Dr.Tengu Yoka kutoka Nairobi |
| Living Waters Praise Team walipokuwa wakihudumu katika Kongamano hilo |
| Bishop Dr Peter Muteba South Afrika akipokea zawadi ya picha iliyochorwa kwa mkono |
| Champagne kama ishara ya kujipongeza |
| Totoo Mwanamziki Kutoka South Afrika |
| Wakwanza ni mama Apostle Ndegi akiwa na baadhi ya wake wa watumishi walihudumu katika Kongamno hilo |


0 comments: