Kila wiki siku ya J/pili katika Hotel ya Wanyama iliyopo sinza mori liko darasa la mchungaji Ceasar wa huduma ya Spirit word Ministry yenye maono ya (Kufikia utimilifu wa kimo au Cheo cha Kristo) Darasa hili uanza saa tisa jioni hadi saa moja kamili usiku....Hivi ndivyo ilivyokuwa katika darasa la Mchungaji Ceaser.Wanakupa nafasi ya mwaliko wewe mdau wangu,bila malipo yoyote kuja kujifunza na kushirikiana nao katika kujenga mwili wa kristo.
Kwa umakini watu wakifatilia neno
Pastor Ceasar akifundisha
Maombi yakiendelea
0 comments: