Huko nchini Marekani siku ya jana kumefanyika tuzo za wanamuziki mbalimbali duniani alimaarufu (BET) ambapo katika tuzo hizo hujumuisha Category ya Gospel...kwa mwaka huu 2014 kipengele cha (BEST GOSPEL ARTIST) kilikua kikiwaniwa na waimbaji tano......
1)Donnie McClurkin
2)Erica Campbell
3)Hezekiah Walker
4)Tamela Mann*WINNER
5)Tye Tribbett
Katika kinyanganyiro hiko Tamel Mann ameibuka mshindi mdau wangu....picha hapo chini Tamel akiwa kwenye pozi la red Carpet
Tamela Mann kwenye pozi
0 comments: