Mkurugenzi wa
Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari
kwenye viwanja vya Karimjee leo wakati alipokua akitangaza Uzinduzi mkubwa wa
Albam ya Shikilia Pindo maarufu ka FACEBOOK ya mwimbaji wa muziki wa injili
anayevuma, Rose Muhando utakaofanyika kwenye ukumbi
wa Diamond Jubilee Agosti 3
/2014 jijini Dar es salaam, ambapo amesema baadhi ya mapato yatakwenda
kuviwezesha mitaji zaidi ya vituo 10 vya watoto yatima jijini Dar es salaam. 

0 comments: