ONE SPORT LIVE NA PAUL CLEMENT (Siku ya Ijuma)
-Kutana na Paul Clement, anayetamba kwenye tasnia ya muziki wa Gospel Tanzania.
-Unapenda kujua kuhusu muziki wake, mafanikio yake au maisha yake kwa ujumla? Basi kutana naye On the Spot LIVE siku ya Ijumaa.
-Kumbuka ni Ijumaa ya wiki hii kuanzia saa 7-8 mchana katika page yetu ya facebook ya Chomoza ya Clouds TV, utauliza swali lako naye atakujibu LIVE kwenye comment yako.
SHARE na marafiki zako!

0 comments: