Mwanamuziki wa Injili Sarah Shilla Ndossi amezungumza na Chomoza
za Clouds Tv na unclejimmytemu.com na
kuelezakua ameingia katika tuzo zenye jina la "BEATS Awards"
zinatotazamia kumalizika mwishoni mwa mwezi huu.
Sarah Shilla ni Mwanamuziki Pekee wa Kutoka Tanzania na Africa Mashariki
anayewania Tuzo hizo na mpaka sasa ndiye anayeongoza kwa kupigiwa kura kupitia
Video yake ya "RUN".
takumbukwa unclejimmytemu.com
iliwahi kutupia Video ya Mwanadada huyo iliyotengenezwa Kimataifa nchini
India.

Mpaka sasa Sarah Ndossi ndiye anayeongoza kwa Kupigiwa kura katika Category ya Gospel, Katika Category ya Video Bora wimbo wake ni wa 38 duniani, na Katika Category ya Makundi jina lake ni la 42.
Tuzo za BEATS zinajumuisha Wanamuziki wa Injili na Wasio Wa Injili katika Category tofauti tofauti.
Namna ya Kupiga Kura...nenda www.beat100.com. kisha fuata maelekezo..

Baada ya maojiano na Chomoza ya Clouds TV ni mwendo wa picha mnato

0 comments: