Mdau wangu wa karibu imebaki siku moja wewe na mimi kujua mengi kutoka kwa Paul Clement.
Unapenda kujua kuhusu muziki wake,pamoja na kile atakachofanya tarehe 22 JUNE at VCCT?Basi kutana naye ON THE SPOT LIVE siku ya Ijumaa.
-Kumbuka ni Ijumaa ya wiki hii kuanzia saa 7-8 mchana katika page yetu ya facebook ya Chomoza ya Clouds TV, utauliza swali lako naye atakujibu LIVE kwenye comment yako.
Mwambie na rafiki yako!
0 comments: