Mchungaji Prosper James Kinyaha wa Usharika wa Kijitonyama siku ya jana amezima ukimya baada ya kumvisha pete ya uchumba bibie
Lilian.Shughuli hii ilyofanyika nyumbani kwa binti mbezi jiji dar es salaam majira ya saa tisa alasiri ikiongozwa na Mchungaji Ernest William Kadiva pamoja na ndugu mbalimbali,ilikua ya aina yake kwa familia hizi mbili.Zifatazo ni picha za matukio ya shughuli nzima mdau wangu.
Tabasamu la bashasha kubwa.Ng'aring'ari.
Mchungaji Ernest William Kadiva akiongoza shuhuli.
Baada ya tendo sasa ni maombi.
Nilishe ni kulishe ndio ishara ya upendo....
Bibie Lilian
Kushoto ni Mchungaji Kadiva akitoa hongera kwa Prosper Kinyaha.
Hatari kitu mwake.Prosper na Lilian mkiwaona muwaachee!!













0 comments: