Wakati kesi ya kutuhumiwa ubakaji
ikiendelea kwenye Mahakama ya Wilaya ya Ilala Dar jana nilifunga safari hadi nyumbani kwa Mbasha.Kikubwa kilicho nipeleka
ni kupata majibu ya maswali yenu wadau,mliokua mkiniuliza baada ya tukio hili kutokea.
Mbasha alinieleza mambo mengi mdau wangu,hivyo na kuaidi kukuletea mahojiano yangu ya kwanza na Emmanuel Mbasha soon.Zifatazo ni picha 7 nikiwa na Mbasha nyumbani kwake Tabata Chang'ombe.....

Hapa akinionyesha baadhi ya picha baada ya kurudi nyumbani kwake siku ya kwanza na kukuta umati wa watu
Endelea kufatilia unclejimmytemu.com yapo mengi utayajua kuhusu Mbasha,wapi alijificha baada ya kutokea tuhuma,akiwa safarini kurudi dar alivaa nini,kwa nini watu wa Tabata Chang'ombe walipo muona walifurika nyumbani kwake...



0 comments: