Kama ni mfatiliaji wa muziki wa injili Tanzania jina la Apostle John Komanya sio jina geni kwenye tasnia ya muziki wa Gospel Tanzania.Ni muimbaji mwenye huwezo mkubwa katika sauti pamoja na utunzi wa nyimbo.John Komanya alitamaba na wimbo wake wa 'ZAWADI GANI' wimbo
wenye umaarufu mkubwa kila kona ya Tanzania.
Kwa sasa John Komanya yupo na Band ya (Joy Band) yenye masikani Kiluvyia wakiwa tayari na albums mbili ya audio CD and DVD.John Komanya yupo kwenye maandalizi ya uzinduzi wa albums hizi tarehe 14 september ambapo soon mdau wangu utaweza kujua shughuli hii itafanyika wapi...kwa hisani ya unclejimmytemu.com tazama picha za behind the scene ya utengenezaji wa DVD.



















0 comments: