Wednesday, May 21, 2014

WAPENDWA KATIKA BWANA HII NDIO STUDIO MPYA YA JOHN LISU "REAL PRODUCTION".

By Jimmy  |  7:17 AM 1 comment

 
Kutoka kwenye chanzo cha habari cha muimbaji John Lisu anapenda kukutaarifu mdau wangu sasa ana studio mpya (REAL PRODUCTION) iliyopo maeneo ya Mikocheni karibu na kiwanda cha Cocacola Kwanza.John Lisu
kupitia account yake kwenye facebook ameweza kueleza ubora wa studi yake na jinsi gani unaweza kufika kwenye studi hiyo.
Real Production iko chini ya John Lisu ambaye ni Managing Director pamoja na Senior Sound Engineer Fredrick Japhet a.k.a Masanja.Kwa sasa itafikia idadi ya waimbaji wa 3 kwa Tanzania wanaomiliki Studio zao,Samuel Yonah,Steven Wambura na John Lisu.Mawasiliano piga simu no 0713 240397 au 0768 407080,barua pepe realproduction2014@gmail.com
Mdau wangu kama kuna waimbaji wengine unawafahamu wana studio zao,nicheki kwenye facebook James Temu,au Instagram Temu James.

Senior Sound Engineer Fredrick Japhet a.k.a Masanja






Managing Director John Lisu.




Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

1 comment:

  1. New Life Band in Arusha, they have their own studio as well.

    ReplyDelete

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP