Muimbaji Pastor Uche yuko lacation akifanya video ya wimbo wake mpya alioutoa zawadi kwa Africa.Video hiyo anayofanya nchini Marekani,amesema
ana mguso wa ndani kabisa na Africa kutokana na mambo mengi mabaya yanayotokea Africa na ishu zingine zinazo ikumba Africa.
Zifatazo ni picha za video shooting ikiendelea
0 comments: