Kufatia mvua zinazo endelea kunyesha mkoa wa Morogoro wilaya ya ulanga na kilombero katika mji wa Ifakara barabara imekati kufatia maji
kuzoa daraja.Ripota wangu Denis aliyeko eneo la tukio ameifahamisha blog,hali sio nzuri kwani mvua zikidi kuna hatari ya kutokuwepo na mawasiliano.Endelea kufatialia habari hii blog itakujuza zaidi.Ziko picha chache za hali ilivyo sasa....
Maji yakiwa yamekata barabara
0 comments: