Baada ya Steven Wambura,John Lisu,Samuel Yonah,Flora Mbasha,sasa ni zamu ya Felis Mubibya muimbaji anayefanya vizuri nchini Marekani,kwa sasa anamiliki
home studio akiwa kwenye harakati za kufungua studio kubwa.Felis ambaye kwa muda mrefu alikua akisomea Sound Engineering kwenye chuo cha AIA (Audio Institute of America) ameamua kufungua studio hiyo ili kumpa nafasi yeye kutengeneza muziki wake pasipo bugudha.
Felis anaingia kwenye horodha ya www.unclejimmytemu.com ya waimbaji wa tano wanaomiliki studio zao binafsi,kwa sasa Felis yuko chuoni akisomea Degree ya muziki.
Home Studio



0 comments: