Kufatia tangazo nililopatiwa na rais wa shirikisho la muziki wa injili Addo November
likieleza juu ya kumchangia muimbaji Edson aliyepata ajali j/mosi ya tarehe 3/5/2014 Mkoani Morogoro kijiji cha Dumila,imekua tofauti kwa mujibu wa Edson Mwasabwite baada ya kumtafuta na kutaka kujua ni kweli aliomba kuchangiwa kiasi cha fedha kwajili ya ajali aliyopata na Gari yake.....Msikilize mwenyewe Edson akiongea na mimi siku ya leo.

Tangazo hilo hapo chini.
0 comments: