Calvary Group Band baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu sasa
wameamua kurudi kwenye game kwa kishindo kikubwa.Wakiongea na www.unclejimmytemu.com wamesema
ukimya wao ulikua na kusudi la
kusoma muziki wa injili jinsi unavyo kwenda na kumuomba Mungu awape njia mpya
ya kufanya vizuri katika tasnia ya Gospel nchini.
Kwa sasa wapo studio kwa John Lisu (Real Studio)
wakitengeneza nyimbo 3 ambazo zitatoka very soon zikiwa zimepigwa live chini ya
Producer Masanja.Mdau wangu kaa mkao mzuri kuwapokea Calvary Band na ujiowao
mpya
Mambo ya Sebene hatari
Kikoso cha kazi Calvary baada ya kumaliza kazi




0 comments: