Thursday, April 17, 2014

KUTOKA EAST AFRICA HUYU NDIYE MSANI WA PEKE ALIYEINGIA KWENYE TUZO ZA KORA AWARDS

By Jimmy  |  10:54 AM No comments

Gloria Muliro Owendi amekua muimbaji wa peke kutoka Kenya aliyengia kwenye tuzo za Kora akiwa nominated on the Kora Awards Top African Artistes of the week.Gloria ni muimbaji wa Gospel Kenya anayefanya vizuri katika mziki wa injili huko.


 Ili kumpigia kura nenda kwenye page ya Kora https://www.facebook.com/photo.php?fbid=375170479288776&set=a.355773297895161.1073741831.355750224564135&type=1&theater   kisha andika "Gloria Muliro" utakuwa umepigia kura yako


Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP