Leo kwenye jicho la Blog nina mkongwe wa mziki wa injili mwenye makazi yake Kenya Faustin Munishi,ni muimbaji wa mwanzo kabisa kwenye muziki wa injili Tanzania aliyejiptia umaarufu mkubwa na wimbo wake wa Malebo.....kwa hisani ya www.unclejimmytemu.blogspot.com nakupa nafasi ya kuenjoy mdau wangu.Have a blessed Friday.
0 comments: