Kwa mara ya kwanza kupitia Tamasha la Pasaka lililofanyika J/pili ya tarehe 20/4/2014 katika uwanja wa taifa jijini dar es salaam Rose Muhando alitumia dakika 7 na sekunde 35 kueleza maneno yake kupitia wimbo wake mpya (Facebook) ulio kwenye albam yake mpya ya Kamata Pindo La Yesu.....Maneno ya wimbo huo yalipata umaarufu ghafla na kupelekea kila aliyetoka mahali pale kusema facebook facebook ya Rose Muhando mwee! imetugusa.Chukua dakika zako
kusikiliza wimbo huu mpya unaopatikana katika albam yake mpya Kamata Pindo La Yesu.Kwa habari na matukio endelea kuwa nami Uncle Jimmy enjoy.
kusikiliza wimbo huu mpya unaopatikana katika albam yake mpya Kamata Pindo La Yesu.Kwa habari na matukio endelea kuwa nami Uncle Jimmy enjoy.
0 comments: