Mlima wa Moto Mikocheni b Assemblies of God iko semina iliyoanza j/pili na kutarajiwa kumalizika
J/mosi ya tarehe 22/3/2014 chini ya mtumishi wa Mungu Daniel Kulola akiwa na Mama yake mzazi,mke wa marehemu Askofu Moses Kulola.
Daniel Kulola katikati na kulia ni Mama mzazi.
0 comments: