Sikui ya leo katika ibada ya K.K.K.T Kijitonyama kupitia jumuiya Maalum walitoa sadaka maalum
kama sehemu ya kuwasaida akina mama wajane. Jumuiya hiyo inayoongozwa na wazee wanne akiwemo Leonard Shayo na Ms. Nia Mbaga. Waliweza kukusanya kiasi cha shilingi
za kitanzania Milioni Moja na Laki Tano. Wakanunua vyerehani vinne pamoja na vitu mbalimbali kwaajili ya wajane.
Ibada hiyo iliongozwa na Mch. Prosper Kinyaha akisaidiana na Jumuiya ya Makazi maalum.
Nakupa fursa ya kutazama picha hizi kwa hisani ya Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama.
Ms. Margareth Kamugisha Akitoa Tangazo
Wajane walifika ibadani leo wakifurahia zawadi waliyopewa
Baadhi ya vyerehani vilivyotolewa na Jumuiya maalum kama sadaka kwa wajane
Lenard Shayo mmoja wa wazee wa Kanisa
Sehemu ya Usharika wakiwa ibadani
Baadhi ya wanajumuiya maalum wakisikiliza kwa makini wakati wa ibada
Daud Goodluck Mambosho Mwenyekiti wa Jumuiya Maalum
Mch. Ernest Kadiva Mchungaji Kiongozi wa K.K.K.T Usharika wa Kijitonyama
0 comments: