Mdau wangu leo nimepata bahati kukutana na muimbaji wa muziki wa injili alimaarufu Pascal Casian akiwa kwenye harakati za utengenezaji wa video za album zake mbili.Pascal Casian aliyepata umaarufu kupitia shindano la Bongo Star Search nilitaka kufahamu nini ana fanya kwa sasa kwanini amepotea na amekua kimya kwa muda mrefu.
Niliweza kuzungumza na Pascal ambaye alinijuza mengi juu ya ujio wa album zake mbili kwa mpigo akiwa chini ya kampuni ya BUKUKU INTARTENMENT.Yapo mengi aliyo sema likiwa la yeye kuamua kufanya kazi chini ya Bahati Bukuku kuanzia usambazaji hadi kupelekwa studio.Nakupa nafasi ya kusikiliza maojiano yangu na Pascal kwa hisani
ya Uncle Jimmy hapo chini
ya Uncle Jimmy hapo chini
Nami nilipata nafasi ya kuwepo kwenye video making mdau wangu
Matengenezo ya nguo on set
Binti aliye kitandani amecheza kama mke wangu kwenye video ya Pascal Casian
Dada yangu wa nguvu na kati ya Tabata Migombani Bahati Bukuku
0 comments: