Kama kuna waimbaji wameonyesha ubunifu katika kuimba kijana Pitson ameonyesha ubunifu wa hali ya juu na wimbo wake wa "LINGALA YA YESU" ni wimbo ulio mtangaza vizuri nchini Kenya baada ya kufanya muziki kwa miaka 8 akiwa kama muimbaji solo.Piston ambaye makazi yake ni Kenya,kwa sasa anapata show nyingi kutokana na wimbo wake wa "Lingala Ya Yesu".Akifanya maojiano na mtangazaji (Larry Madowo) wa kituo cha tv ya Kenya (NTV)
akiwa na bendi yake alisema kuwa wimbo wa Lingala umemtangaza vizuri kuliko alivyokua Solo kwa miaka 8.Kwa hisani ya Uncle Jimmy tazama video ya wimbo wa "Lingala Ya Yesu" hapo chini kisha tazama video inayofata akifanya live show kwenye kipindi cha Gospel cha NTV Kenya

LINGALA YA YESU
LIVE NTV KENYA
0 comments: