Friday, March 7, 2014

JICHO LA BLOG na KUNDI LA MUNGU KWANZA TEAM.

By Jimmy  |  1:55 PM 1 comment

 Hope Samwel kushoto akiwa na Levy Mamuya.

Leo kwenye jicho la blog niko na kiwanda kingine cha muziki wa injili Tanzania,si kingine ni kampuni ya PAMOJA KWA UMOJA inayo fanya kazi na waimbaji wa muziki wa injili mbali mbali.Kampuni hii yenye maskani yake Kijitonyama dar es salamu barbara ya Sayansi karibu na kanisa la Chrisco imekua maarufu kutokana na ubora wa kazi zake.
Kwa sasa kampuni ya PAMOJA KWA UMOJA inafanya kazi za Gospel Video,Wedding na Documentary.Kampuni imeshafanya kazi na waimbaji Messi Jacob Chengula,Modesta Mlingo,Hulda Vagheni na kutoka Kongo Levy Mamuya na wengine wengi.Kupitia jicho la blog
inayoletwa kwako kwa hisani ya Chomoza ya Clouds TV na kupa nafasi ya kusikiliza wimbo wa kundi la (MUNGU KWANZA TEAM) linalo milikiwa na Pamoja kwa Umoja,wimbo--HAKUNA MATATA.
 Pia ziko picha za waimbaji wa kundi hilo la "Mungu Kwanza Team" hapo chini
 Levy Mamuya.


Hope Samel..


Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

1 comment:

  1. woooow!!! me naipenda sana hii nyimbo, ujue hii kwaito imekaaa vyema sanaaaa,,though nmetoka dar nipo chuo Tanga (sekomu) bt nimeitafuta ili tu nibarkiwe nayo....b blecd much

    ReplyDelete

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP