KANUNI ZA MAFANIKIO
Dunia inakungojea wewe usimame kwenye nafasi yako,upate kuikomboa. Kuna mengi bado hayajafanyika. wewe ni hazina kubwa sana. Jikubali afu anza sasa.
Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya maamuzi yako ya kila siku na kile unachokifanya na hali yako either ya kiroho ,kimaisha,kimtazamo,financially na hata katika wale wanaokuzunguka.
Katika kila unachokifanya leo ni km unatimiza ndoto ya mtu Fulani,facebook unayoitumia leo ni ndoto ya mtu aliyokua nayo wkt Fulani ili kuwafikia wengi kwa namna hiyo.
Aina ya nguo unazozivaa na magari uliyonayo ni ndoto ya mtu aliyokua nayo na akafanikiwa kuileta ktk uhalisia na sasa inatumika na yafaa kwa matumizi.
Hata laptop uliyonayo na google unayoitumia ilikua ni ndoto ya mtu ktk namna ya kujikwamua ili kuweza kufanya kile alichokua anakitamani kukifanya km ndoto na maono yake.
Hata kanisa unalosali leo ni ndoto ya mtu kila unapokua ukitumia either muda,pesa au nguvu zako ktk moja ya vitu nlivyovisema ujue unatimiza ndoto ya mwenzako.
Elinaja singer of Rivers Of Joy International, Praise and Worship team at VICTORY CHRISTIAN CENTRE Tabernacle, Dar es Salaam, Tanzania |
Kama upo chuo,ujue hicho chuo ni ndoto ya mtu aliyokua nayo ktk kutaka kuwafikia watu na kuwakwamua kiakili. Hata km upo kwenye kampuni ambayo umeajiriwa na unalipwa vizuri sana,bdo ni unatimiza kusudi na ndoto ya mwenzako,
Swali.
Katika unachokifanya unaweza kufikia kusudi la ndoto yako?
Maana wengi wetu tumejikuta tuna-enjoy tuu lakini kumbe upo nje ya track ya ndoto yako.
Petro akamwambia Yesu ivi tunavyokufata hivi na kufanya haya yote,nini hatma yake??.nini mwelekeo wake??.inaonyesha hawa watu walikua wanafyata mkia pasipo kujua nini mwisho,hatimaye petro akaona hapana ngoja niseme.
Leo naomba upate ku-rethink ktk hicho unachokifanya uta unamsaidia mwenzio kuifikia ndoto yake au fikia ndoto yako wewe .
Pia utakuwa nje ya track ukija kutambua tayari muda umepita, kama ni kazini,usije kuwa una enjoy na mshahara kumbe unamsaidia mwenzio
http://apostledarmacy.blogspot.com/ |
0 comments: